Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 17:15-18

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

15 Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Isa, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. 16 Akajitupa miguuni mwa Isa akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria.

17 Isa akauliza, "Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa? 18 Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?"

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    15 Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; 16 akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria. 17 Yesu akajibu, akanena, Hawakutakaswa wote kumi? Wale tisa wako wapi? 18 Je! Hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni huyu?

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    15 Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. 16 Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria.

    17 Yesu akauliza, "Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa? 18 Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?"

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.