3 Kwa hiyo, jilindeni.
"Ndugu yako akikukosea, mwonye; naye akitubu, msamehe. 4 Akikukosea mara saba kwa siku moja, na mara saba kwa siku moja akaja kwako akisema, ‘Ninatubu,’ msamehe."