Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 2:16,17

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

16 Hivyo wakaenda haraka Bethlehemu, wakawakuta Mariamu na Yusufu na yule mtoto mchanga akiwa amelala katika hori la kulia ng’ombe. 17 Walipomwona yule mtoto, wakawaeleza yale waliyokuwa wameambiwa kuhusu huyo mtoto.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    16 Wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Yusufu, na yule mtoto mchanga amelala horini. 17 Lk 2:10-12Walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    16 Hivyo wakaenda haraka Bethlehemu, wakawakuta Maria na Yosefu na yule mtoto mchanga akiwa amelala katika hori la kulia ngʼombe. 17 Walipomwona yule mtoto, wakawaeleza yale waliyokuwa wameambiwa kuhusu huyo mtoto.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.