19 Lakini Mariamu akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari.
51 Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nasiri, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote.
19 Lakini Mariamu akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari.
51 Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nasiri, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote.
19 Lk 2:51Lakini Mariamu akayaweka maneno hayo yote, akiyafikiri moyoni mwake.
51 Lk 2:19Akashuka pamoja nao mpaka Nazareti, naye alikuwa akiwatii; na mamaye aliyaweka hayo yote moyoni mwake.
19 Lakini Maria akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari.
51 Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nazareti, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.