Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 2

48 Yusufu na Mariamu mama yake walipomwona walishangaa. Mama yake akamuuliza, "Mwanangu, mbona umetufanyia hivi? Tazama, mimi na baba yako tumekuwa tukikutafuta kwa wasiwasi mkubwa kila mahali."

49 Isa akawaambia, "Kwa nini kunitafuta? Hamkujua kwamba imenipasa kuwa katika nyumba ya Baba2:49 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. yangu?"

50 Lakini wao hawakuelewa maana ya lile alilowaambia.

51 Ndipo akashuka pamoja nao hadi Nasiri, naye alikuwa mtiifu kwao. Lakini mama yake akayaweka moyoni mwake mambo haya yote.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também