22 Je, ni halali sisi kulipa kodi kwa Kaisari, au la?"
23 Lakini Isa akatambua hila yao, akawaambia, 24 "Nionesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyo juu yake ni vya nani?"
Wakamjibu, "Ni vya Kaisari."
25 Akawaambia, "Basi mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu."