22 Je! Ni halali tumpe Kaisari kodi, au sivyo? 23 Lakini yeye alitambua hila yao, akawaambia, 24 Nionesheni dinari. Ina sura na anwani ya nani? Wakamjibu, Ya Kaisari. 25 Akawaambia, Basi, vya Kaisari mpeni Kaisari, na vya Mungu mpeni Mungu.
Publicidade
Luka 20:22-25
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
22 Je, ni halali sisi kulipa kodi kwa Kaisari, au la?"
23 Lakini Isa akatambua hila yao, akawaambia, 24 "Nionesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyo juu yake ni vya nani?"
Wakamjibu, "Ni vya Kaisari."
25 Akawaambia, "Basi mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu."
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
22 Je, ni halali sisi kulipa kodi kwa Kaisari, au la?"
23 Lakini Yesu akatambua hila yao, kwa hiyo akawaambia, 24 "Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?"
25 Wakamjibu, "Ni vya Kaisari."
Akawaambia, "Basi mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu."
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.