Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 22

Isa akamatwa

47 Isa alipokuwa bado anazungumza, umati mkubwa wa watu wakaja. Waliongozwa na Yuda, aliyekuwa mmoja wa wale kumi na wawili. Akamkaribia Isa ili ambusu. 48 Lakini Isa akamwambia, "Yuda, je, unamsaliti Mwana wa Adamu kwa busu?"

Veja também