Isa apaa mbinguni
50 Baada ya kuwaongoza hadi Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki. 51 Alipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni.