Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 3

Ukoo wa Isa

23 Isa alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alikuwa akidhaniwa kuwa mwana wa Yusufu.

Yusufu alikuwa mwana wa Eli,

38 Kenani alikuwa mwana wa Enoshi,

Enoshi alikuwa mwana wa Sethi,

Sethi alikuwa mwana wa Adamu,

Adamu alikuwa mwana wa Mungu3:38 Yaani mwana wa kiroho, bali si wa kimwili. Adamu aliumbwa moja kwa moja kutoka kwake Mwenyezi Mungu mwenyewe..

Veja também