18 "Roho wa Bwana Mungu Mwenyezi yu juu yangu,
kwa sababu amenipaka mafuta
kuwahubiria maskini Habari Njema.
Amenituma kuwatangazia wafungwa
kufunguliwa kwao,
na vipofu kupata kuona tena,
kuwaweka huru wanaoteswa,
18 "Roho wa Bwana Mungu Mwenyezi yu juu yangu,
kwa sababu amenipaka mafuta
kuwahubiria maskini Habari Njema.
Amenituma kuwatangazia wafungwa
kufunguliwa kwao,
na vipofu kupata kuona tena,
kuwaweka huru wanaoteswa,