Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 5

Isa amtakasa mtu mwenye ukoma

12 Ikawa siku moja Isa alipokuwa katika mji fulani, mtu mmoja mwenye ukoma mwili mzima akamjia. Alipomwona Isa, alianguka chini hadi uso wake ukagusa ardhi, akamsihi akisema, "Bwana, ukitaka, unaweza kunitakasa."

13 Isa akanyoosha mkono wake, akamgusa yule mtu, akamwambia, "Nataka. Takasika!" Na mara ukoma wake ukatakasika.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também