Isa awatuma wale kumi na wawili
1 Isa kisha akawaita wale kumi na wawili pamoja, akawapa mamlaka na uwezo wa kutoa pepo wachafu wote na kuponya magonjwa yote, 2 kisha akawatuma waende wakahubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.