29 "Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yenu: Katika siku ya kumi ya mwezi wa saba ni lazima mfunge, wala msifanye kazi yoyote, iwe mzawa au mgeni anayeishi miongoni mwenu, 30 kwa sababu siku hii upatanisho utafanyika kwa ajili yenu ili kuwatakasa. Kisha mtakuwa safi mbele za Mwenyezi Mungu kutokana na dhambi zenu zote. 31 Ni Sabato ya mapumziko, na lazima mfunge; ni agizo la kudumu.
Mambo Ya Walawi 16:29-31
Em outras traduções
- SRUV Swahili Revised Union Version
29 Law 23:26-32;Hes 29:7-11;Kut 30:10;Isa 58:3,5;Dan 10:3,12Amri hii itakuwa amri ya milele kwenu; katika mwezi wa saba, siku ya kumi ya mwezi, mtajinyima, msifanye kazi ya namna yoyote, mzalia na mgeni akaaye kati yenu. 30 Eze 36:25;Yer 33:8;Tit 2:14;Efe 5:26;Ebr 9:13,14;1 Yoh 1:7,9Kwa maana siku hiyo upatanisho utafanywa kwa ajili yenu, ili kuwatakasa; nanyi mtatakaswa na dhambi zenu zote mbele za BWANA. 31 Kut 31:15;35:2;Law 23:32;25:4Ni Sabato ya raha ya makini kwenu nanyi mtajinyima; ni amri ya milele.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
29 "Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yenu: Katika siku ya kumi ya mwezi wa saba ni lazima mfunge, wala msifanye kazi yoyote, iwe mzawa au mgeni anayeishi miongoni mwenu, 30 kwa sababu siku hii upatanisho utafanyika kwa ajili yenu ili kuwatakasa. Kisha mtakuwa safi mbele za Bwana kutokana na dhambi zenu zote. 31 Ni Sabato ya mapumziko, na lazima mfunge; ni agizo la kudumu.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.