Pular para o conteúdo
Publicidade

Mambo Ya Walawi 20:7,8,26

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

7 " ‘Jitakaseni basi, nanyi kuweni watakatifu, kwa sababu mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. 8 Shikeni amri zangu na kuzifuata. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, niwafanyaye ninyi watakatifu.

26 Mtakuwa watakatifu kwangu, kwa sababu Mimi, Mwenyezi Mungu, ni mtakatifu, nami nimewatenga kutoka mataifa kuwa wangu mwenyewe.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    7 Kut 22:31;Mt 5:48;Efe 1:4;Kol 3:12;1 The 5:23;1 Pet 1:16Jitakaseni basi, kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu. 8 Kut 31:13;Eze 37:28Nanyi zishikeni sheria zangu, na kuzitenda; Mimi ndimi BWANA niwatakasaye.

    26 Law 19:2;Zab 99:5;Isa 6:3;30:11;1 Pet 1:16;Ufu 3:7;4:8;Tit 2:14Nanyi mtakuwa watakatifu kwangu; kwa kuwa mimi BWANA ni mtakatifu nami nimewatenga ninyi na mataifa, ili kwamba muwe wangu.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    7 " ‘Jitakaseni basi, nanyi kuweni watakatifu, kwa sababu mimi ndimi Bwana Mungu wenu. 8 Shikeni amri zangu na kuzifuata. Mimi ndimi Bwana, niwafanyaye ninyi watakatifu.

    26 Mtakuwa watakatifu kwangu, kwa sababu Mimi, Bwana, ni mtakatifu, nami nimewatenga kutoka mataifa kuwa wangu mwenyewe.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.