22 " ‘Mnapovuna mavuno ya ardhi yenu, msivune hadi mpakani mwa shamba lenu, au kukusanya masazo ya mavuno yenu. Hayo utayaacha kwa ajili ya maskini na mgeni. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.’ "
Sikukuu ya Tarumbeta
(Hesabu 29:1-6)

22 Law 19:9-10;Kum 24:19-22;Kut 23:11;Kum 15:1-18;Ayu 20:19;Zab 112:9;Mit 14:31;Isa 58:7,8;Yak 2:1;Rut 2:15,16Nanyi hapo mtakapovuna mavuno ya nchi yenu, usivune kabisa kabisa pembe za shamba lako, wala msiyakusanye masazo ya mavuno yako; utayaacha kwa ajili ya huyo maskini na mgeni; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
22 " ‘Mnapovuna mavuno ya ardhi yenu, msivune hadi mpakani mwa shamba lenu, au kukusanya masazo ya mavuno yenu. Hayo utayaacha kwa ajili ya maskini na mgeni. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.’ "
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.