Pular para o conteúdo
Publicidade

Mambo Ya Walawi 25:35-37

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

35 " ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe kati yako, msaidie vile ungemsaidia mgeni au mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi kati yako. 36 Usichukue riba wala faida yoyote kutoka kwake, bali utamwogopa Mungu wako, ili mzawa wa nchi yako aweze kuendelea kuishi kati yako. 37 Usimkopeshe fedha ili alipe na riba, wala usimuuzie chakula kwa faida.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    35 Kum 15:7-8;Zab 37:26;Mit 14:31;Lk 6:35;Mdo 11:29;Rum 12:18;1 Yoh 3:17Na ikiwa ndugu yako amekuwa maskini, na mkono wake umelegea kwako, ndipo utamsaidia, atakaa nawe kama mgeni, na msafiri. 36 Kut 22:25;Kum 23:19;Neh 5:7;Zab 15:5;Mit 28:8;Eze 18:8,13,17Usitake riba kwake wala faida, bali mche Mungu wako, ili ndugu yako akae nawe. 37 Kut 22:25;Kum 23:19-20Usimpe fedha yako upate riba, wala usimpe vyakula vyako kwa kujitakia faida.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    35 " ‘Ikiwa mmoja wa wazawa wa nchi yako amekuwa maskini, naye akashindwa kujitegemeza mwenyewe katikati yako, msaidie kama vile ambavyo ungelimsaidia mgeni au kama mkazi wa muda, ili aweze kuendelea kuishi katikati yako. 36 Usichukue riba wala faida yoyote kutoka kwake, bali utamwogopa Mungu wako, ili mzawa wa nchi yako aweze kuendelea kuishi katikati yako. 37 Usimkopeshe fedha ili alipe na riba, wala usimuuzie chakula kwa faida.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.