17 Isa akawaambia, "Njooni, nifuateni nami nitawafanya mwe wavuvi wa watu." 18 Mara wakaacha nyavu zao, wakamfuata.