Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 1

Isa amtakasa mtu mwenye ukoma

40 Mtu mmoja mwenye ukoma alimjia Isa, akapiga magoti, akimwomba, "Ukitaka, unaweza kunitakasa."

41 Isa, akiwa amejawa na huruma, akaunyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, "Nataka. Takasika!" 42 Mara ukoma ukamtoka, naye akatakasika.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também