Isa abatizwa
9 Wakati huo Isa akaja kutoka Nasiri ya Galilaya, naye akabatizwa na Yahya katika Mto Yordani. 11 Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, "Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana."