Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 10

4 Wakajibu, "Musa aliruhusu kwamba mume anaweza kumwandikia mkewe hati ya talaka na kumwacha."

5 Isa akawaambia, "Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, Mungu aliwaumba mwanaume na mwanamke. 7 Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, 8 na hao wawili watakuwa mwili mmoja.Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena, bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe."

Veja também