25 Nanyi kila msimamapo kusali, sameheni mkiwa na neno na mtu, ili naye Baba11:25 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. Kwa mwanadamu, Mwenyezi Mungu ni Baba kupitia uhusiano unaopatikana katika kumtumaini Isa Al-Masihi. yenu aliye mbinguni awasamehe ninyi makosa yenu. [
Publicidade