Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 11

25 Nanyi kila msimamapo kusali, sameheni mkiwa na neno na mtu, ili naye Baba11:25 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. Kwa mwanadamu, Mwenyezi Mungu ni Baba kupitia uhusiano unaopatikana katika kumtumaini Isa Al-Masihi. yenu aliye mbinguni awasamehe ninyi makosa yenu. [ 26 Lakini kama ninyi msiposamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.]11:26 Maandiko mengine ya kale hayana maneno haya."

Veja também