Hakuna ajuaye siku wala saa
32 "Kwa habari ya siku ile na saa hakuna yeyote ajuaye, hata malaika walio mbinguni wala Mwana, ila Baba13:32 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. peke yake.