Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 14

Kuanzishwa kwa Chakula cha Bwana Isa

22 Walipokuwa wanakula, Isa akachukua mkate, akashukuru, akaumega na kuwapa wanafunzi wake, akisema, "Twaeni mle; huu ndio mwili wangu."

23 Kisha akakitwaa kikombe, akashukuru, akawapa, nao wote wakanywa kutoka humo.

24 Akawaambia, "Hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi. 25 Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também