Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 14

61 Lakini Isa akakaa kimya, hakusema neno lolote.

Kuhani mkuu akamuuliza tena, "Je, wewe ndiwe Al-Masihi14:61 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta., Mwana wa Mungu Aliyebarikiwa?"

62 Isa akajibu, "Mimi ndimi. Nanyi mtamwona Mwana wa Adamu akiwa ameketi mkono wa kuume wa Mwenye Nguvu, na akija juu ya mawingu ya mbinguni."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também