Kifo cha Isa
33 Ilipofika saa sita, giza liliifunika nchi yote hadi saa tisa. 34 Hapo saa tisa, Isa akapaza sauti, akalia, "Eloi, Eloi, lama sabakthani?" (maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?")