Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 3

Mama yake na ndugu zake Isa

31 Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakiwa wamesimama nje, wakamtuma mtu kumwita. 32 Umati wa watu walikuwa wameketi kumzunguka, nao wakamwambia, "Mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta."

33 Akawauliza, "Mama yangu na ndugu zangu ni nani?"

34 Kisha akawatazama wale watu waliokuwa wameketi kumzunguka pande zote, akasema, "Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu. 35 Mtu yeyote anayetenda mapenzi ya Mungu, huyo ndiye kaka yangu, na dada yangu, na mama yangu."

Veja também