Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 4

Mfano wa punje ya haradali

30 Akawaambia tena, "Tuufananishe ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuueleza? 32 Lakini ikipandwa, hukua ikawa mmea mkubwa kuliko yote katika bustani, ikawa na matawi makubwa hata ndege wa angani wanaweza kujenga viota kwenye kivuli chake."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também