Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 6

17 Herode mwenyewe alikuwa ameagiza kwamba Yahya akamatwe, afungwe na kutiwa gerezani. Alifanya hivi kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake, ambaye Herode alikuwa amemwoa. 18 Yahya alikuwa amemwambia Herode, "Si halali kwako kuwa na mke wa ndugu yako."

Veja também