49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, wakadhani ni mzimu. Wakapiga yowe, 50 kwa sababu wote walipomwona waliogopa.
Mara Isa akasema nao, akawaambia, "Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope!"