Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 7:8,9,13

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu."

9 Naye akawaambia, "Ninyi mnayo njia nzuri ya kukataa amri za Mungu ili mpate kuyashika mapokeo yenu! 13 Kwa njia hiyo ninyi mnabatilisha neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyojiwekea. Nanyi mnafanya mambo mengi ya aina hiyo."

Vitu vinavyomnajisi mtu

(Mathayo 15:10-20)

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. 9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu. 13 huku mkilitangua neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyopokezana; tena mwafanya mambo mengi yaliyo sawasawa na hayo.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu."

    9 Naye akawaambia, "Ninyi mnayo njia nzuri ya kukataa amri za Mungu ili mpate kuyashika mapokeo yenu! 13 Kwa njia hiyo ninyi mnabatilisha neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyojiwekea. Nanyi mnafanya mambo mengi ya aina hiyo."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.