Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 9

28 Baada ya Isa kuingia ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza wakiwa peke yao, "Mbona sisi hatukuweza kumtoa huyo pepo mchafu?"

29 Isa akawajibu, "Pepo aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa kuomba [na kufunga]9:29 Maandiko mengine ya kale hayana maneno haya.."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também