39 Isa akasema, "Msimkataze, kwa kuwa hakuna yeyote atendaye miujiza kwa Jina langu ambaye baada ya kitambo kidogo aweza kunena lolote baya dhidi yangu. 40 Kwa maana yeyote asiye kinyume chetu, yuko upande wetu.