Pular para o conteúdo
Publicidade

Malaki 3

8 "Je, mwanadamu atamwibia Mungu? Hata hivyo mnaniibia mimi.

"Lakini mnauliza, Tunakuibia kwa namna gani?

"Mnaniibia zaka na dhabihu. 10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kuwe na chakula katika nyumba yangu. Nijaribuni katika hili," asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, "nanyi mwone kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwamwagieni baraka nyingi hata mkose nafasi ya kutosha.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também

Malaquias
Ver todos os capítulos de Malaquias