2 Haya ndiyo majina ya hao mitume kumi na wawili:
wa kwanza, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye;
Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye;
3 Filipo, na Bartholomayo;
Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru;
Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
4 Simoni Mkananayo10:4 yaani Mzelote; Wazelote walikuwa kikundi cha Kiyahudi wenye imani kali waliompinga Kaisari na utawala wa Rumi., na Yuda Iskariote aliyemsaliti Isa.