25 Wakati wa zamu ya nne ya usiku14:25 yaani kati ya saa tisa na saa kumi na mbili asubuhi, Isa akawaendea wanafunzi wake akiwa anatembea juu ya maji. 26 Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji, waliingiwa na hofu kuu, wakasema, "Ni mzimu." Wakapiga yowe kwa kuogopa.
27 Lakini mara Isa akasema nao, akawaambia, "Jipeni moyo! Ni mimi. Msiogope."