Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 16

15 Akawauliza, "Je, ninyi mnasema mimi ni nani?"

16 Simoni Petro akamjibu, "Wewe ndiwe Al-Masihi16:16 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta., Mwana wa Mungu aliye hai."

17 Naye Isa akamwambia, "Heri wewe, Simoni Bar-Yona16:17 neno la Kiaramu, maana yake Mwana wa Yona, kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também