Ndugu yako akikukosea
15 "Ndugu yako akikukosea, nenda ukamwoneshe kosa lake, kati yenu ninyi wawili peke yenu. Akikusikiliza, utakuwa umempata tena ndugu yako.
Kusamehe mara ngapi?
21 Kisha Petro akamwendea Isa na kumuuliza, "Bwana, ni mara ngapi nimsamehe ndugu yangu akinikosea? Hadi mara saba?"
22 Isa akamjibu, "Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.
33 Je, haikukupasa kumhurumia mtumishi mwenzako kama mimi nilivyokuhurumia wewe?’