Kusamehe mara ngapi?
21 Kisha Petro akamwendea Isa na kumuuliza, "Bwana, ni mara ngapi nimsamehe ndugu yangu akinikosea? Hadi mara saba?"
22 Isa akamjibu, "Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.