Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 2

9 Baada ya kumsikia mfalme, wale wataalamu wa nyota wakaenda zao, nayo ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, nao wakaifuata hadi iliposimama mahali alipokuwa mtoto. 10 Walipoiona ile nyota wakajawa na furaha kubwa mno.

Veja também