Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 21

Isa atakasa Hekalu

12 Isa akaingia katika eneo la Hekalu na kuwafukuza wote waliokuwa wakinunua na kuuza vitu Hekaluni. Akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilisha fedha, na pia viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa. 13 Akawaambia, "Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também