Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 21

15 Lakini viongozi wa makuhani na walimu wa Torati walipoona mambo ya ajabu aliyofanya, na kuwasikia watoto wakishangilia katika eneo la Hekalu, wakisema, "Hosana Mwana wa Daudi," walikasirika.

16 Wakamuuliza Isa, "Je, unasikia hayo hawa wanayosema?"

Akawajibu, "Naam; kwani hamkusoma,

" Midomoni mwa watoto wachanga na wanaonyonya

umeamuru sifa?"

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também