Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 24

23 Wakati huo mtu yeyote akiwaambia, Tazama, Al-Masihi huyu hapa!au, Al-Masihi yuko kule,msisadiki. 24 Kwa maana watatokea masihi wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa. 25 Tazameni, nimekwisha kuwaambia mapema.

26 "Basi mtu yeyote akiwaambia, Yule kule nyikani,msiende huko. Au akisema, Yuko kwenye chumba,msisadiki.

Veja também