Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 24

Ishara za nyakati za mwisho

3 Isa alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamjia faraghani, wakamuuliza, "Tuambie, mambo haya yatatukia lini, nayo dalili ya kuja kwako na ya mwisho wa dunia ni gani?"

4 Isa akawajibu, "Jihadharini, mtu yeyote asiwadanganye. 5 Kwa maana wengi watakuja kwa Jina langu, wakidai, Mimi ndiye Al-Masihi24:5 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta.,nao watawadanganya wengi. 6 Mtasikia habari za vita na tetesi za vita. Angalieni msitishike, kwa maana haya hayana budi kutukia. Lakini ule mwisho bado.

Veja também