39 Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, "Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe."
42 Akaenda tena mara ya pili na kuomba, "Baba yangu, kama haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisikinywe, basi mapenzi yako yafanyike."
44 Hivyo akawaacha akaenda zake tena mara ya tatu na kuomba akisema maneno yale yale.
46 Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!"
Isa akamatwa
(Marko 14:43-50; Luka 22:47-53; Yohana 18:1-11)