Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 26:52-54

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

52 Ndipo Isa akamwambia, "Rudisha upanga wako alani mwake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga. 53 Je, unadhani siwezi kumwomba Baba yangu naye mara moja akaniletea zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika? 54 Lakini je, yale Maandiko yanayotabiri kwamba ni lazima itendeke hivi yatatimiaje?"

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    52 Mwa 9:6;Ufu 13:10Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga. 53 Yoe 3:11Ama wadhani ya kuwa mimi siwezi kumsihi Baba yangu, naye ataniletea sasa hivi zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika? 54 Yatatimizwaje basi maandiko, ya kwamba hivyo ndivyo vilivyopasa kujiri?

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    52 Ndipo Yesu akamwambia, "Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga. 53 Je, unadhani siwezi kumwomba Baba yangu naye mara moja akaniletea zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika? 54 Lakini je, yale Maandiko yanayotabiri kwamba ni lazima itendeke hivi yatatimiaje?"

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.