65 Pilato akawaambia, "Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadiri mnavyoweza." 66 Hivyo basi wakaenda na walinzi ili kulilinda kaburi kwa uthabiti, wakatia muhuri kwenye lile jiwe na kuweka ulinzi.