Publicidade

Mateus 28

18 Isa akawajia na kusema, "Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Kwa sababu hii, nendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza28:19 Ubatizo ni ishara ya kuungama dhambi na kusamehewa na Mwenyezi Mungu, na kuweka nadhiri ya kubadilisha mienendo ya awali. kwa Jina la Baba28:19 Jina Baba linaonesha uhusiano maalum wa Isa na Mwenyezi Mungu. na la Mwana28:19 Yaani Isa Al-Masihi, aliye na asili ya Mwenyezi Mungu, na uhusiano wa kipekee naye. na la Roho28:19 Ndiye anayefanya kazi ya Mwenyezi Mungu katika moyo wa mwanadamu, na kumshawishi nia yake kumfuata Isa Al-Masihi (Yohana 16:5-15). wa Mungu, 20 nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati."

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-