Isa ajaribiwa nyikani
1 Kisha Isa akaongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu hadi nyikani ili ajaribiwe na ibilisi.
1 Kisha Isa akaongozwa na Roho Mtakatifu wa Mungu hadi nyikani ili ajaribiwe na ibilisi.
1 Mk 1:12,13;Lk 4:1-13Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.Ebr 2:18;4:15
1 Kisha Yesu akaongozwa na Roho Mtakatifu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.